JF Chat: All members chat

Ulifanya fanyaje nawe?

Okay,

Gel ni Silicone Gel. Zipo Pharmacy.
Lakini pia kuna sindano ya Corticosteroid.
Nilifanya piercing mwaka 2020 madhara nayaona kipindi hiki usiku nikilala sikio linakua zito ile sehemu inawasha uvimbe kwa mbali

Nikienda pharmacy watanipatia, hakuna aina labda au yeyote hiyo silicone gel?
 
Zipo kibao. Unataka brands?

Scar away, Cica Care, Mederma

Na nyinginezo kede.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…