Nashindwa kuupload nakuandikia nyimbo tamu 5haya niwekee nyimbo moja hapo nami nilanduke nayo...
sawa acha nirukenazo nawe ruka na hii ya nyongezaNashindwa kuupload nakuandikia nyimbo tamu 5
Perfect design - Nyanshiski
Lifetime- Quavo ft Ryan
Kookoo- Elani
Mimi - B2K
Djadja- Aya Nakamura
Restart mimi? Au ni Vicenzo?Mbona tunachit chat sana tu chumbani! Kwenye id yangu flani hivi๐
Ongezea Lift me Up ya Nyanshiskisawa acha nirukenazo nawe ruka na hii ya nyongezaView attachment 3045485
Nakutania dokta!Restart mimi? Au ni Vicenzo?
Sin mtu ninayechit chat naye
Aya Nakamura fundii sana huyuNashindwa kuupload nakuandikia nyimbo tamu 5
Perfect design - Nyanshiski
Lifetime- Quavo ft Ryan
Kookoo- Elani
Mimi - B2K
Djadja- Aya Nakamura
Fundi haswaaaaa! Sauti yake haichoshiAya Nakamura fundii sana huyu
Haina. Hebu kuja.Nakutania dokta!
Unataka kusema pm yako haina pisi za hapa na pale?๐ค
Ana Ngoma na Arya star unaijua ?Fundi haswaaaaa! Sauti yake haichoshi
Muite Aisha miuno eh!!sasa wewe nakujibu namna hiiView attachment 3045483
Nakuja saa 10:30 ukitoka hosp. Nikija sasa hivi utawachoma sindano za kichwa badala ya tako๐Haina. Hebu kuja.
Yes! Niliona jana nilikua naplay nyimbo zakeAna Ngoma na Arya star unaijua ?
Na Kuna Ngoma nimeimba nae inaitwa bad boy ๐๐ฅYes! Niliona jana nilikua naplay nyimbo zake
Basi usinisahau wakati mwingineโบ๏ธmi nimeishia hapo kwa leo...๐
Yaani fally umjui ๐๐๐we msanii nani...? mbona sikujui..๐