Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Atleast umekua na faida huku JF hadi unatolewa mifano😂😂Hizo za saizi ndo tamu!..
Hivi kwanini wanajf kila linapokuja swala la kuumizwa na mapenzi mimi ndo nimekuwa wa mfano..? Imefika hatua Sasa mpk nimechoka..😅
Nooo usichoke inabidi ujipongeze kwa hilo🤣