JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Kama unapenda comedy utapenda Carol's second Act maana inachekesha , four weddings yenyewe ni nzuri inaelezea uhusiano katika marafiki wanavyoishi na hata Alita ni kama sci-fi
Hope Nita enjoy..
Kuna moja ya malovu niliipenda inaitwa friend with benefits!.. hii movie ujinga mwingi ndani yake..😂
 
Hakika utazipenda
Hiyo sijaiona ila inaonekana ipo vyema kwenye sector hiyo.
 
What happened mkuu..?
Miaka ya ujana niliwahi kumpenda binti alafu akapewa mimba na kuniomba nimstiri kwa kujitambulisha kwao kama mwenye mimba na baadae nitamuoa lakini mwisho wa siku alinipiga chini. Ni long story. Hapo nimekupa picha uone jinsi watu tushawahi humizwa lakina sasa tupo kwenye good marriage.
 
Aisee pole ndugu ndo maisha hayo..
 
Hapana
Ikoje hiyo
Ni moja kati ya season nzuri sana kiufupi naweza sema it about survive. Ila Kuna vitu vingi sana ndani yake ambavyo unaweza kujifunza kuhusu uongozi,mapenzi,imani, technology,hulka za watu n.k hutajutia.
 
Season zipo ngapi
Maana unaweza kuta zipo 5
 
Ai siwezi hiyo.
Mwisho kuangalia ni season moja tu .
Hujapata company tu mi mwenyewe hiyo ndo season ya kwanza kuimaliza sijawahi kumaliza season zaidi ya hiyo!.. jiulize kwanini nimalize..?
 
Back
Top Bottom