JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Hahahha nazipenda mno maana nimeangalia toka enzi zile kwenye tvt na Itv .
I do like muvi za wazungu zaidi napenda wanavyoigiza japo sio za aina zote most action movies..
Bongo Labda turudi huku
images.jpeg
 
Bongo movie pia wapo vizuri hakika movie zilituburudisha sana .
Mtu hautoki kwenye tv, hadi part iishe ...

Nimetamani kuangalia Sarafina tena .
Itafute mkuu mi huwa naangalia nyimbo za hiyo movie tu kule YouTube.. angalia na insyuka..😂
 
Back
Top Bottom