JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Thanks ndugu kwa madini..
Tazama hizo shadow zote ( wick ).. zote zina maana na ndio zina drive market.. ukiona kuna wiki juu iliyopiga pair kama GBPJPY lazima ukute imeshuka kwasababu wakulungwa huwa wanatoa vyao kwa ajiri ya risk mbali mbali au kwa maanza zingine
Screenshot_20220225_113314_com.tradingview.tradingviewapp.jpg
 
Wee KENZY utakuja ufe kwa stress, si ufanye mambo mengine achana na mapenzi uwiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cocastic sijaachwa mimi Wala sina stress na mapenzi ni upweke tu mduchu..πŸ˜‚

Halafu lile zoezi ukaacha sijui nikufanyie vurugu..πŸ€”
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Kaka unanichimba

Hehehehe...ninachokupendea unajua kugonga penyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwisha habari..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Utaona pepo kweli wewe..?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaka unanichimba

Hehehehe...ninachokupendea unajua kugonga penyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli shemuz wa 3?uwiiiiiiih
 
Tazama hizo shadow zote ( wick ).. zote zina maana na ndio zina drive market.. ukiona kuna wiki juu iliyopiga pair kama GBPJPY lazima ukute imeshuka kwasababu wakulungwa huwa wanatoa vyao kwa ajiri ya risk mbali mbali au kwa maanza zingineView attachment 2130611
Napenda sana kusoma candlestick ndio huwa zinanipa mwanga wa Mambo yanakwendaje.. nikirudi mara hii nataka nijifue kwenye swala la muda wa kuingia sokoni na kutoka,maana huwa nasoma vizuri kabisa tatizo Sasa kwenye muda..πŸ˜‚
 
Cocastic sijaachwa mimi Wala sina stress na mapenzi ni upweke tu mduchu..[emoji23]

Halafu lile zoezi ukaacha sijui nikufanyie vurugu..[emoji848]
Hebu nifanyie vurugu nikuone jaman, mie ndo ntakuvuruga uwe kichaa, sio stress tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kule nimezuiwa bhana, mbna ningekufanyia needful jomoneeeeh bablai. Uwiiiiiiih
 
Kwisha habari..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Utaona pepo kweli wewe..?
🀣🀣🀣
Weee tena Mimi ndiyo nitakua kwenye kamati ya kupiga nyundo 🀣🀣🀣
 
Kama picha huelewi hata kusoma je?[emoji15][emoji3064]
Ile akili ya kufumbua mafumbo sahivi ishaanza kuzubaa! Sio kenzy yule nilieshindaga buku teni kwa kutafsiri ile picha!.. huo muda ndio ulionila..πŸ˜‚
 
Napenda sana kusoma candlestick ndio huwa zinanipa mwanga wa Mambo yanakwendaje.. nikirudi mara hii nataka nijifue kwenye swala la muda wa kuingia sokoni na kutoka,maana huwa nasoma vizuri kabisa tatizo Sasa kwenye muda..πŸ˜‚
Muda rahisi sana kucheza nao, fatilia fundamental analysis kupitia huko utaona mda wa kuingia na kutoka..
 
Hebu nifanyie vurugu nikuone jaman, mie ndo ntakuvuruga uwe kichaa, sio stress tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kule nimezuiwa bhana, mbna ningekufanyia needful jomoneeeeh bablai. Uwiiiiiiih
Kwani umeambiwa mimi sina prime minister..? Hata huko inawezekana.πŸ˜…
 
🀣🀣🀣
Weee tena Mimi ndiyo nitakua kwenye kamati ya kupiga nyundo 🀣🀣🀣
Dada umekosea sio kupiga bali kupigwa rekebisha,watu na kamati zao..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dada umekosea sio kupiga bali kupigwa rekebisha,watu na kamati zao..πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimepatia bwana...tena kamati kuu sasa jiroge na midhambi yako uone
 
Muda rahisi sana kucheza nao, fatilia fundamental analysis kupitia huko utaona mda wa kuingia na kutoka..
Thanks.. Kuna hii pair USDJPY ilishaganifundisha forex ni nini..!🀣🀣 Sign zote za kushuka zilionyesha lakini wale wahuni wa interbank huko sijui waligusa waya gani!.. ila silaumu sana coz nami niliingia kichwakichwa nikapewa vichwa..πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimepatia bwana...tena kamati kuu sasa jiroge na midhambi yako uone
🀣🀣 Na ninavyojua kulia mpaka kidaka tonge kinaonekana mbona utaonea huruma..!
 
Thanks.. Kuna hii pair USDJPY ilishaganifundisha forex ni nini..!🀣🀣 Sign zote za kushuka zilionyesha lakini wale wahuni wa interbank huko sijui waligusa waya gani!.. ila silaumu sana coz nami niliingia kichwakichwa nikapewa vichwa..πŸ˜‚
USDJPY huwa si trade kabisaa.. ina mwendo wa kisengeee sana.. inatembea mda wake inaotaka.. na ikikukuta umekaa vibaya kilio
 
Back
Top Bottom