KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
- Thread starter
- #401
Hii inafaa kuvizia Kuna angle ikifika uhakika kabisa na ikiamua kukuletea mkate mbona utainjoi swala ni usilewe maana mi nililewa ikanikata mtama..🤣USDJPY huwa si trade kabisaa.. ina mwendo wa kisengeee sana.. inatembea mda wake inaotaka.. na ikikukuta umekaa vibaya kilio