JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Siku zote ni sawa, hatari ya ijumaa ni kuwekwa mtu kati.. alafu ulaze trade zako noma sanaa
Hii ilishawahi kunitokea nikaamua nikubali loss halafu j tatu kitu kikashuka kwa spidi nililaumu kinyama bora ningeacha..๐Ÿ˜…
 
greed mbaya sana kwenye soko.. unaweza ishia kulia tu.. soko lina tabia ya kiume na trader hasa retailer anaona kama tu demu.. anarusha ndoana ya kwanza anakuacha unaila, ya pili unakula.. ukinenepa sana anakuvua sasa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hivi zile bank ndo hufanya mauzauza au brokers maana Kuna watu wanaclaim
 
Back
Top Bottom