JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Uduguu na ba tamu mliishiaje?? Na yule dogo bado anakuja kucheck muvi kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba tamuu kanichekeshaa jana, anasemaje muambie huyo Dogo kuwa aache mazoea na wee na kuja hapo kwako, lasivyo anachokufanyaga wee na mie nitamfanya yeye.

Nilikasirika nikaanza kumchamba asinidharau kihivyoo. Huyu dogo ananifanya nn mie? Yeye anajibu nimeshakuambia wee muelekeze hivyoo.

Sasa uduguuu naanzaje mie kumuambia dogo haya mambo, yaan ba tamu sijui km havuti mjani huyuu. Khaaaah.
 
Ufugaji una endana na kilimo Yani inapendaza mno , mimi pia napenda ufugaji mno na kilimo hasa kwa matumizi ya chakula cha nyumbani.
Hata mimi napenda kufuga ng'ombe kuku na bata
Watoto wangu ndio watakua na kibarua cha kuangalia mifugo
 
Back
Top Bottom