JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Hivyo vyakula situmii mimi ugali tu
mara ya mwisho kula wali ni siku ya iddi nililetewa pilau na jirani
Vyakula vitamu mno wali maharage na ndizi mbivu au wali mseto mboga za majani.

Ndizi zenye nyama nyingi na parachichi pembeni😋
 
Back
Top Bottom