ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mama ntilie huyo?View attachment 3045630
Nimepikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama ntilie huyo?View attachment 3045630
Nimepikiwa
Hapana hii wife katoa nilimwambia asiweke naziMama ntilie huyo?
Umefaidi mwenyewe😋Hapana hii wife katoa nilimwambia asiweke nazi
Tamu Sana 😍😋😋Umefaidi mwenyewe😋
Nilidhani saa kumi unusu. Ikapita holla!.Nakuja saa 10:30 ukitoka hosp. Nikija sasa hivi utawachoma sindano za kichwa badala ya tako😉
Daktari wangu tulia! Mambo mazuri hayahitaji haraka😂Nilidhani saa kumi unusu. Ikapita holla!.
Nikasema labda saa nne na nusu usiku, napo kodo. Eee bhanah eeh, tusubiri saa kumi na nusu usiku pengine.
Yeah😌☺️ mziki ni kama dawa ukisikiliza unajisikia vizuriiiii😍😎 Nzuri hii
Huyu dada aliyo Vaa ya mexico na Brazil wameimba vizuri sana yaaniYeah😌☺️ mziki ni kama dawa ukisikiliza unajisikia vizuriiiii
Gen Z ya USA hiyo🥹 sisi Gen Z yetu bado wapo shuleHuyu dada aliyo Vaa ya mexico na Brazil wameimba vizuri sana yaani
😁😂😂 Wengine wapo joggingGen Z ya USA hiyo🥹 sisi Gen Z yetu bado wapo shule
Enjoy🥂Ngoma kali mno 🤩🤩🤩
Inaitwaje hio ngomaHuyu dada black kaua sana , hii ngoma inafanana na ngoma flan ya Dua lipa.