Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri niolewe!☺️Utapikaje mwenyewe na ule mwenyewe? hii ndio sababu inawafanya watu wengi walale kwa njaa, kushindia matunda, kiyai n.k
Min akeeeee☺️Naweza kufuli tu😊
Ulizani nakutania 😁😂😂😎😎😎kula muhimu sana kitambi kawaida pafomansi unakuwa tamu ukikutana na demu mwenye kiuno kama cha anitta 🤣Ulisema usiku unapika chips yai umepika kweli☺️ ndio maana tuna vitambi
Hakuna kulala,leo ni kukesha tuHallow Jf
Unatuwakilisha vyema huko wa waitaliano?Ulizani nakutania 😁😂😂😎😎😎kula muhimu sana kitambi kawaida pafomansi unakuwa tamu ukikutana na demu mwenye kiuno kama cha anitta 🤣
😂🤣🤣🤣😂😁😁😁😎😎😎 Embu nipe Ngoma kalii Moja niburudikeUnatuwakilisha vyema huko wa waitaliano?
Hallow mbona huongei?Hallow Jf
Itakuwa vzr kama ni mwendo wa kukeshaHakuna kulala,leo ni kukesha tu
Hakuna kulala,leo ni kukesha tu
Waoaji tupo hapa; nipo tayari kutoa debe la mahindi kama mahari; niruhusu kesho nilete mshenga 😀Subiri niolewe!☺️
Mkuu wewe ni anitta tu kina manka aaaaah😆Ulizani nakutania 😁😂😂😎😎😎kula muhimu sana kitambi kawaida pafomansi unakuwa tamu ukikutana na demu mwenye kiuno kama cha anitta 🤣
Ibra katoa ngoma inaitwa mchuchu😂🤣🤣🤣😂😁😁😁😎😎😎 Embu nipe Ngoma kalii Moja niburudike
Kina manka hawajui kukatika tatizoMkuu wewe ni anitta tu kina manka aaaaah😆
Nataka ng'ombeWaoaji tupo hapa; nipo tayari kutoa debe la mahindi kama mahari; niruhusu kesho nilete mshenga 😀
Pesa mbele kama tai😅😅😅😅Kina manka hawajui kukatika tatizo
Ndio ile analalamika dharau au 😁😂Ibra katoa ngoma inaitwa mchuchu
Chino wanaman katoa nyimbo na mavoko jina silijui
Hapana! Hii nyingine tamu kinomaNdio ile analalamika dharau au 😁😂
Afu kukatika hawajui Bora Latino wanamichezo mitamu kiuno kilaini 😋😋😎Pesa mbele kama tai😅😅😅😅