mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Kaka mazoezi tu naweza kurudisha heshima ya ndoa!! Au kuna kingine nifanye?Duh Fanya mazoezi mkuu Mimi na kitambi changu naenda nusu saa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mazoezi tu naweza kurudisha heshima ya ndoa!! Au kuna kingine nifanye?Duh Fanya mazoezi mkuu Mimi na kitambi changu naenda nusu saa
Nguvu ninazo ila simudu kufikia dakika 20 kabla sijashuka mlima
Teknolojia😂Hiyo reply yangu imepaaje kufika hapa. 😥😥
Ndio kunywa juisi ya tende changanya na maziwa fresh utaona utamu sana pale kwenye jotoKaka mazoezi tu naweza kurudisha heshima ya ndoa!! Au kuna kingine nifanye?
Mambo mpenzi😎Hiyo reply yangu imepaaje kufika hapa. 😥😥
Ilikuaje kiaje kwani alikua anatafuta nini😂😂 akajikwaa nayo quote.Teknolojia😂
😂😂😂😂😂😂 Kweli Ulimwengu Shujaa Mambo mupenziMambo mpenzi😎
Poa mpenzi wangu upo gudi 😎😎😂😂😂😂😂😂 Kweli Ulimwengu Shujaa Mambo mupenzi
Nimemuonea huruma, ila hii mbio yao ina urefu mkubwa zawadi zizidiane kutokana na ugumu wa zoeziKuna mtu kaanguka hapa Olympic 😁😂
Ghafla sana. Upepo ni mkali sana eeeh?Poa mpenzi wangu upo gudi 😎😎
Upwiru umenikaba koo na hili baridi mpenziGhafla sana. Upepo ni mkali sana eeeh?
Morocco ameshinda sema jamaa hadi Mimi nimemuonea huruma Itakuwa kaumia sana 🤣😁Nimemuonea huruma, ila hii mbio yao ina urefu mkubwa zawadi zizidiane kutokana na ugumu wa zoezi
Hawa wanaocheza basketball unawaona? Huyu mrefu mwenye kiduku kama dumeMorocco ameshinda sema jamaa hadi Mimi nimemuona huruma Itakuwa kaumia sana 🤣😁
Unajiskia tu kuongea lolote mwenyewe. 🤔Upwiru umenikaba koo na hili baridi mpenzi
Because whenever I see youUnajiskia tu kuongea lolote mwenyewe. 🤔
Hawa wenye nyekundu lazima washinde ni mangongoti wenzao maandunjeShoga huyo nimeliona
Wamarekani hao ndio wenyewe hao wanajua huu mchezo jinsi ya kuuchezaHawa wenye nyekundu lazima washinde ni mangongoti wenzao maandunje