ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Hivi leo umemuona min ake? Jana alikua na stress usikute ashafanya maamuzi magumu huko🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaoa?
HapanaUshaoa?
Watoto?Hapana
Niko nao kama saba hiviWatoto?
😆🙌 Wewe hufai kuoa! Subiri tu ukizeeka watoto wako watakutunzaNiko nao kama saba hivi
Nimeshangaa na hv ni post nyingine tofauti🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo reply yangu imepaaje kufika hapa. 😥😥
Utani tu bana😆🙌 Wewe hufai kuoa! Subiri tu ukizeeka watoto wako watakutunza
Hapo sawa! Nikajua ukoo wenu wote mnakitembeza mdogo ako yeye alisema anao 8Utani tu bana
Muongo huyo bado yupo sekondari. Kamaliza form six anasubiri selection za vyuo.Hapo sawa! Nikajua ukoo wenu wote mnakitembeza mdogo ako yeye alisema anao 8
🥹Hii ni taarifa mbaya sana kwanguMuongo huyo bado yupo sekondari. Kamaliza form six anasubiri selection za vyuo.
Kwahiyo kumbe hunitaki mimi unamtaka huyo nyokaa🥹Hii ni taarifa mbaya sana kwangu
Hapana! Nakutaka weweKwahiyo kumbe hunitaki mimi unamtaka huyo nyokaa
Acha kunichota basiHapana! Nakutaka wewe
Kumbe unapenda kudanganywa eeh🤔Acha kunichota basi
Imekuwa hivyo tena?Kumbe unapenda kudanganywa eeh🤔
Tushakubaliana utaninunulia ndinga so lazima niache machepeleImekuwa hivyo tena?
Hizi ahadi za chit chat sio nzuriTushakubaliana utaninunulia ndinga so lazima niache machepele
Kumbe ulikua haupo serious😒Hizi ahadi za chit chat sio nzuri
sasa njoo ndani ya box tubongeKumbe ulikua haupo serious😒