JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

ndo hivyo tunaokoteza okoteza tu, hakuna mbinu kamilifu

unatukanwa, unapigwa kimya, sawa tu😅
Ndio hivyo,
Mtu akiwa hayuko interested na wew hata ufanyeje, utahangaika tuu.

Huyu demu tulikutana akiwa anauguza mkono( alipata ajali.).
Jamaa yake alimuacha akiwa bado mgonjwa.

Mwanaume nikajitahidi kumpa psychological support plus medical advice za hapa na pale.
Kumshauri kwa sana kuhusu mazoezi.

Lakini wapi, sijaambulia chochote.
 
😂😂😂Nimeshindwa kujizuia kucheka
 
Amour na yo nzete ya mbila
Epesi mbila epesi mafuta
Epesi nsamba pe na mpose
Lindalala na matanga na feti
Ata bakati yango epesi mayebo na makokolo
IMG_20240825_220435_407.jpg
 
:AMOGUS::AMOGUS::AMOGUS::AMOGUS::AMOGUS::AMOGUS::AMOGUS::AMOGUS::AMOGUS::AMOGUS::AMOGUS:
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔
 
Back
Top Bottom