JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Ooh ulikuwa wapi kipenzi Ms R muda mrefu sijakuona humu. Nikajua umeahamia majukwaa mengine. Umemisika sana na karibu tena 🥰🥰🥰🥰
Majanga ni majanga,,sina pa kwenda mimi hayo majukwaa mapya hadi nikapate wadau sio mchezo,,mi ni wa huku huku tuuu❤️❤️❤️
 
Majanga ni majanga,,sina pa kwenda mimi hayo majukwaa mapya hadi nikapate wadau sio mchezo,,mi ni wa huku huku tuuu❤️❤️❤️
Okay vizuri, ila unajichanganya tu. Ukiona mada imekuvutia unachangia. Wadau utapata, sema zile za serious ni kuchangia na kutambaa hakunaga kujenga udau 😅😅😅😅 Nimefurahi kukuona tena hapa mdogo wangu.
 
huko kwenye mada serious kuniona n kidogo sana🙌🏾🙌🏾😂😂 sijawahi weza mimi,, asante madamu ivi ulileta vocha ili irudiwe😂
 
Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.

Say hi to everyone and every time we will be there.

We chat..

Hello jf..?
Hello
 
Back
Top Bottom