Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oops! Nimezaliwa peke angu bana..niko mpweke balaaWivu umenishika!, namtaka mdogo wako wakike!..😎
Hongera tena! Unaona ni nzuri hii..hata sio nzuriMh! mtoto fulani hivi mboga saba na madeko yote! hongera.
Haikuwa kwa kupenda kwao.ni nzuri mbona sasa ulitaka uwapangie wazazi wazae wangapi..?
waambie pole!, basi bwana mkubwa anakazi yakukulinda!.. sasa fanya hivi wewe zaa halafu kawajazie wajukuu wachangamshwe wasikae kipwekepweke!Haikuwa kwa kupenda kwao.
Walitamani wazae watoto wengi ila ndo hivo kila kitu ni rizki s unajua tena!
Upo kwenye kichwa changu!waambie pole!, basi bwana mkubwa anakazi yakukulinda!.. sasa fanya hivi wewe zaa halafu kawajazie wajukuu wachangamshwe wasikae kipwekepweke!
Hao hao ndo watakuwa dada zangu na kaka zangu sitolaza damu😁Mh! tutaisoma no!..🤣
Atakao niruzuku mwenyezimungu, hata wawe kumi ni safi tu!aisee! sawa utatoa wangapi..?
Utadungwa sindano ya sumu ohoo🤣katika hao kumi mmoja wakwangu haiwezekani afaidi yeye tu wote kumi wawe wakwake hata namimi nina moyo na damu na wivu ninao..🤣
Dunia haina siri😁labda unidunge wewe! sasa yeye mi nakutananae vipi akha!
Ujinga kivipAcha ujinga.