Mkuu umefika hatua hiyo ya kuombeana banMods piga ban this people
Sasa mnachotukanana hapo nn?!
AlizinguaSasa mnachotukanana hapo nn?!
Km ungenyamaza ungepungukiwa na nn?
Huku poa mkuuJoseverest, muosha rungu, sergio, mshana, don uchwara, jembeliko niaje pande hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaona
inakuwa ngumu sana, tutaishia kugombana kitu ambacho sitaki kitokee
Asante mpenz lakin kuniosha ni jukumu lako mpenznimeamka salama !nahakika na ww umeamka salama !ushaoga mume?fanya uoge upate kifungua kinywa
Sawa mke wangu lakin umeamka salama kweli, maana jana hukua vizur dearha ha ha sawa mume wangu nikirud nitaanza kukuosha
Sawa mke wangu lakin umeamka salama kweli, maana jana hukua vizur dear
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kunywa dawa maralia tatu sio nzur mpenznaendelea vyema ! asante kwa kujali
Poa leo unaenda kanisan au unapumuzikadis tym nitamaliza dose! asante sana sana!