Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Rudia kusoma ulichoandika. Atafute mtoto then aendelee kula ujana wake...tafsiri yake iko wazi kabisa hapo anyway sio kesi...nisikuingilie kwenye mahusiano yako na Yesu wako maana kila mtu atabeba furushi lakeAisee pole sana mkuu tafuta mtoto hata mmoja mkuu then utulie ule huo ujana wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa hukunielewa mkuu nilimshaur azae kama mungu alivyo agiza kwenye vitabu vyake maana jamaa umri unaenda hana hata mtoto wa kusingiziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app