Rudia kusoma ulichoandika. Atafute mtoto then aendelee kula ujana wake...tafsiri yake iko wazi kabisa hapo anyway sio kesi...nisikuingilie kwenye mahusiano yako na Yesu wako maana kila mtu atabeba furushi lakeAisee pole sana mkuu tafuta mtoto hata mmoja mkuu then utulie ule huo ujana wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa hukunielewa mkuu nilimshaur azae kama mungu alivyo agiza kwenye vitabu vyake maana jamaa umri unaenda hana hata mtoto wa kusingiziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wasiojulikana wanamtaka baby wako-mbiti!![emoji30][emoji30][emoji30]
Watu gan hao mkuu mbiti sio wa kimchezo mchezo kusema kwamba et utamupata kirahis rahisWatu wasiojulikana wanamtaka baby wako-mbiti!![emoji30][emoji30][emoji30]
Salama Shem za Kwako?
Za kwangu nzur jaman huonekan umejificha wap siku hizSalama Shem za Kwako?
Nipo tuu, sema nilipo hakuna network ndio maana naingia kwa machale sana humu ndani
Upo wap huko shem wangu nije hata tu nikupe kampanNipo tuu, sema nilipo hakuna network ndio maana naingia kwa machale sana humu ndani
Nipo huku chato ndani ndani nataka nijaribu kilimo cha mpunga
Chato na mpunga wapi wapi shem mimi huwaga naenda mpandaNipo huku chato ndani ndani nataka nijaribu kilimo cha mpunga
Hao wasukuma hapo juuPeople gani izo baby?
Siwaoni wako wapi?Hao wasukuma hapo juu
Babe umeamkaje?katika watu ambao nawish niwaone live huyo ni no 1 !nahisg siku niku nikimuona nitampiga migumi ya mgongon jaman ! huwa ananiuma na kunipuliza !namuangaliaga tu !
Niko salama mke wangu mpenz za tangu jananimeamka salama mume kipenzi sijui wewe huko my dear
Bas vizur dear wangu huwa nakuombea kila nikilala na kuamkasalama kbs
Yuko gesti jamaa anamalzia cha asubuhi
Mbona ashagalud kitambo sanaYuko gesti jamaa anamalzia cha asubuhi