sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Mbitiyaza amesafiri kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbitiyaza amesafiri kumbe
Pole sana Mkuu tafuta ka mchepuko [emoji23] [emoji23]
Mh hapana mkuu siwez msalit mke wangu maana akiwepo huwa napata burudan zote, namuheshimu sanaPole sana Mkuu tafuta ka mchepuko [emoji23] [emoji23]
We ni mchokozPole sana Mkuu tafuta ka mchepuko [emoji23] [emoji23]
Kwaya yenu vp nataka niwatungie nyimboMh hapana mkuu siwez msalit mke wangu maana akiwepo huwa napata burudan zote, namuheshimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeacha kbsa uchokozi
Ni jambo zuri lakin mara nyingi mbiti ndo huwa mtunz wanguKwaya yenu vp nataka niwatungie nyimbo
Unamlipa lakn?
Utakuta misitari ya juma nature imechanganywa kwenye gospel
Hahahaha bas hiyo haifai kabisa hata kidogoUtakuta misitari ya juma nature imechanganywa kwenye gospel
Exploitation hiyo acha kumnyonya
Gospel ya kizazi kipya mkuu
Simnyonyi mkuu anafanya kwa kujitolea maana yeye ndo mama wa familia anajua kitu gan tunakifanyaExploitation hiyo acha kumnyonya
Sisi huwa hatuimbi ya gospel ya namna hiyoGospel ya kizazi kipya mkuu
Basi hapo umepata mke boraSimnyonyi mkuu anafanya kwa kujitolea maana yeye ndo mama wa familia anajua kitu gan tunakifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We kweli kiazimbatata asubhi watu tusiwaze kazi eti kuchat..[emoji37][emoji37][emoji37]