JF Chit: Chat hapa upate mchumba

πŸ€”πŸ€”Natamani kuona ushuhuda wa ndoa some day msiishie ku hit and run Kama akina naniiii.....πŸ˜›πŸ˜›
 
Ili nijue upo wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alafu kuna movie tafuta inaitwa Human centipede oaaaa weeeeh hapana chezea kabisa ni hatariii
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
kama inatisha ntakuja kukuzabua makofi hadharan aseeeee,,kuna hii moja inaitwa SISU mtu akanambia nzuri,we nloyakuta mle sina hamuπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Kuna mtu alinihadithia siku ya kwanza yeye alipofika juu vitu vimetoka kwa kasi ule uoga akakimbia nje akiwa uchi akamuacha demu ndani
Kila mtu akieleza mwanzoni mambo yalikuaje utacheka sana
 
Hapana,, naomba nihamie kwako tuwe wawili, najua wewe huna masharti magumu😌
Karibu kwangu masharti mepesi sana kikubwa
Usiwe na ndevu
Usiwe na kitambi
Ukiwa mweusi itapendeza
Kama umeenda vidato ukawa mwalimu bas moyo wangu wote unao
 
Karibu kwangu masharti mepesi sana kikubwa
Usiwe na ndevu
Usiwe na kitambi
Ukiwa mweusi itapendeza
Kama umeenda vidato ukawa mwalimu bas moyo wangu wote unao
Manyanza kaa kando mxiuuu,nimejipatia huku,,robo tatu ya mashart nimeshatimiza tayari,😌😌
 
Hii ni thread maalumu kabisa kwa wale ambao wako single na wanataka better half, pole pole mjuane. Huwezi jua umepangiwa utakutana nae vipi

Walio kwenye relationship nyie tulieni acheni wenzenu wapate nao wafaidi mema ya nchi.
Mimi nataka bikra ndio nitamuoa ila kama unajijua wewe ni used njoo nipige HIT AND RUN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…