Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ajajha Unique Flower kanikimbia simpati tena aseMaua anafaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajajha Unique Flower kanikimbia simpati tena aseMaua anafaa
Kwani sijaachika kule kweli?Ole wako🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂Mbona uzi mzima wamejaa wanaume sasa
Najua kimeru nilipe nikutongozee.Ajajha Unique Flower kanikimbia simpati tena ase
Mwaka jana nimemshuhudia mke wangu safari zake za kariakoo hazikuwa njema na ndoa yetu kuvunjika nimelia sana nilichokiona kariakoo baada ya kumfatilia kwa nyumaKwahiyo tunaoenda kariakoo wenyewe hatufai?? Mbona mnatuchanganya wazee!
How muchNajua kimeru nilipe nikutongozee.
Wewe ufichwe na mishangazi huko then utegemee auntie yangu akae tu kukusubiri!!Kwani sijaachika kule kweli?
😂Mwaka jana nimemshuhudia mke wangu safari zake za kariakoo hazikuwa njema na ndoa yetu kuvunjika nimelia sana nilichokiona kariakoo baada ya kumfatilia kwa nyuma
Mchumba ndio wew sasa watu wajichanganye waje waoe mashogaNone
Hivi na ule mbanano halafu naonaga kama kila mtu mwizi sasa wanatongozanaje mule??Mwaka jana nimemshuhudia mke wangu safari zake za kariakoo hazikuwa njema na ndoa yetu kuvunjika nimelia sana nilichokiona kariakoo baada ya kumfatilia kwa nyuma
Wewe yuleee hapinduii kwanguWewe ufichwe na mishangazi huko then utegemee auntie yangu akae tu kukusubiri!!
Anaitwa Ryan huyo ni hatari na sana na Kuna yule mwenye kipini kule chini ni balaa 😎Bhana wee kuna lile Mama na Mwanae jina limenitoka tu. Somebody Connor lile ni hatari wakina Jodi wanaruka nalo mnooo
Mbona sioni haoBado
Wanaitana pembeni kumalizana ghorofani kwa wahindiHivi na ule mbanano halafu naonaga kama kila mtu mwizi sasa wanatongozanaje mule??
Ewaah na Mwanae aisee yule Mama ana balaa Shetani mwenyewe anasubiri🤣🤣🤣Anaitwa Ryan huyo ni hatari na sana na Kuna yule mwenye kipini kule chini ni balaa 😎
Basi hayo nayo ni maajabu ya kariakooWanaitana pembeni kumalizana ghorofani kwa wahindi
😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁Mchumba ndio wew sasa watu wajichanganye waje waoe mashoga
Ndugu kariakoo sio sehemu salama sanaBasi hayo nayo ni maajabu ya kariakoo
Wote wanatoa Airtel waleEwaah na Mwanae aisee yule Mama ana balaa Shetani mwenyewe anasubiri🤣🤣🤣