JF Chit: Chat hapa upate mchumba

JF Chit: Chat hapa upate mchumba

😅😅 Una uhakika Gani kama najiheshimu?
☺️☺️☺️Kwa sasa sijui ila naamini ni hivyo, ila hii Id huwezi kuijua maana nimebadilisha jina nilisha chati na wewe ukanielekeza namna gani ulijitunza mpaka ndoa
 
Wachumbaaa mkujeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani mwenzio natafuta mke wa kuoa, awe private sector or public sector.
Elimu ianzie Bachelor degree kwenda juu na sio chini ya hapo.
Mengine tutayajadili pm

Nipo very serious na hili jambo
 
Nimeku tag kule na kuna ujumbe wako.
Naamini mimj ndio "Mume wako wa MAISHA". In your avatar you look so cute, pesa inatafuwa upendo wa kweli unakuja automatic bila pesa.
Nimekupenda bidada wewe ndio moyo wangu sili silali nakuwaza wewe tu mrembo.

I really promise you a good life though bado nipo nipo kitaaa naendelea kujitafuta but tambua kidole kimoja hakivunji chawa.

Njoo mama njooo tujenge familia, tusiwacheleweshe watoto wetu kuanza shule my sweet darling [emoji8]
Ni wapiii huko ba watoto umenitag? Niendee nikatazamee.
Aaaaiiiiiiih!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom