JF Chit: Chat hapa upate mchumba

JF Chit: Chat hapa upate mchumba

Siku hizi upo sana jf, kuna kitu unaogopa? Unaogopa kupinduliwa?[emoji23]
Kupinduliwaa wapiii? Wee kantriiii mbna hapa JF cna cha kuogopaa kabisaaa.
Mie nishavukaa huko bhanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom