S Socw JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 1,329 Reaction score 2,644 Oct 19, 2017 #1 Alosto ni member ambaye amejiunga jf siku chache zilizopita lakini amekuwa mwiba mkali kwa kuwashambulia waziwazi members wengine wakongwe na maarufu. Members ambao hadi sasa wameshambuliwa na alosto ni kapeace na Joseverest. Weka kura yako..
Alosto ni member ambaye amejiunga jf siku chache zilizopita lakini amekuwa mwiba mkali kwa kuwashambulia waziwazi members wengine wakongwe na maarufu. Members ambao hadi sasa wameshambuliwa na alosto ni kapeace na Joseverest. Weka kura yako..
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,405 Reaction score 10,637 Oct 19, 2017 #2 Huyo dada anatafuta bwana sio kiki
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Oct 19, 2017 #3 Madogo hawa wanaingia kwa pupa wanadhani hii ni facebook
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,735 Reaction score 8,541 Oct 19, 2017 #4 Nokia83 said: Madogo hawa wanaingia kwa pupa wanadhani hii ni facebook Click to expand... Mkuu upo sahihi hata mada zao hazina mahala kwenye jukwaa hili sema tu ndo hivyo mods wetu ni wakarimu hata wajinga wanasikilizwa.
Nokia83 said: Madogo hawa wanaingia kwa pupa wanadhani hii ni facebook Click to expand... Mkuu upo sahihi hata mada zao hazina mahala kwenye jukwaa hili sema tu ndo hivyo mods wetu ni wakarimu hata wajinga wanasikilizwa.
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Oct 19, 2017 #5 Kirchhoff said: Mkuu upo sahihi hata mada zao hazina mahala kwenye jukwaa hili sema tu ndo hivyo mods wetu ni wakarimu hata wajinga wanasikilizwa. Click to expand... Kuna madogo kama watatu humu nmeshaapa kutochangia kwny thread zao maana nmeshaona hawana heshima kbs halaf wanaongea vitu vya kitoto
Kirchhoff said: Mkuu upo sahihi hata mada zao hazina mahala kwenye jukwaa hili sema tu ndo hivyo mods wetu ni wakarimu hata wajinga wanasikilizwa. Click to expand... Kuna madogo kama watatu humu nmeshaapa kutochangia kwny thread zao maana nmeshaona hawana heshima kbs halaf wanaongea vitu vya kitoto