Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo sahihi hata mada zao hazina mahala kwenye jukwaa hili sema tu ndo hivyo mods wetu ni wakarimu hata wajinga wanasikilizwa.Madogo hawa wanaingia kwa pupa wanadhani hii ni facebook
Kuna madogo kama watatu humu nmeshaapa kutochangia kwny thread zao maana nmeshaona hawana heshima kbs halaf wanaongea vitu vya kitotoMkuu upo sahihi hata mada zao hazina mahala kwenye jukwaa hili sema tu ndo hivyo mods wetu ni wakarimu hata wajinga wanasikilizwa.