wewe hujulikani umaarufu utaupata wapi ??Na mimi nataka umaarufu
Hahaawewe hujulikani umaarufu utaupata wapi ??
Huwa nawaza hvyo pia mkuuUngejua jamaa ndiye Joseverest ila anatumia ID nyingine ungejifutia tu huu uzi wako.
Anajitafutia kiki kwa kujianzishia nyuzi.
Mkuu una uhakika na haya usemayo?? Kama ndio thibitisha kwa hoja zenye mashiko tujueUngejua jamaa ndiye Joseverest ila anatumia ID nyingine ungejifutia tu huu uzi wako.
Anajitafutia kiki kwa kujianzishia nyuzi.
Endelea kuwaza hivyo hivyo ila najulikana na ID yangu hii hii moja iko verified nianze kufungua ID nyingine ya kujipromote/Kiki kwa sababu zipi labda?? Huo ujinga/upuuzi sijawahi na sitakaa niufanye. AsanteHuwa nawaza hvyo pia mkuu
Alosto ni member ambaye amejiunga jf siku chache zilizopita lakini amekuwa mwiba mkali kwa kuwashambulia waziwazi members wengine wakongwe na maarufu. Members ambao hadi sasa wameshambuliwa na alosto ni kapeace na Joseverest. Weka kura yako..
mkuu achana na hao wenye wivu,walianza kushambulia uzi wa likes wamezodolewa sasa wanaanza personal attacks. Sisi tulio wengi tupo upande wako wala usijali mkuu JoseverestEndelea kuwaza hivyo hivyo ila najulikana na ID yangu hii hii moja iko verified nianze kufungua ID nyingine ya kujipromote/Kiki kwa sababu zipi labda?? Huo ujinga/upuuzi sijawahi na sitakaa niufanye. Asante