Jf chit chat kipima joto: alosto kuwashambulia members maarufu, yupo sahihi au anatafuta kiki

Jf chit chat kipima joto: alosto kuwashambulia members maarufu, yupo sahihi au anatafuta kiki

Alosto kuwashambulia member maarufu

  • Total voters
    9

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Alosto ni member ambaye amejiunga jf siku chache zilizopita lakini amekuwa mwiba mkali kwa kuwashambulia waziwazi members wengine wakongwe na maarufu. Members ambao hadi sasa wameshambuliwa na alosto ni kapeace na Joseverest. Weka kura yako..
 
Mende msafi uliaga leo..

Alosto hajielewi,leo kaanzisha uzi nikaureport mods wakaufuta
 
Wengine huwa wanatafuta kiki kwa mitindo tofauti lakini ajue tu kuwa boxer ina kiki, lakini dereva akigongwa na kiki ya piki piki tunaita kiki boxer, ameamua tu kumvaa Joseverest kwa sababu ya upole wake, huu ujinga wake asijaribu kwangu asee!
 
Umaarufu wa jf unakusaidia nn?

Pambana na thread zako..

Na washambuliwe tu tutawapeleka milembe
 
447b250f3cfeeb9f4ce81f422793ac7c.jpg
 
Alosto ni member ambaye amejiunga jf siku chache zilizopita lakini amekuwa mwiba mkali kwa kuwashambulia waziwazi members wengine wakongwe na maarufu. Members ambao hadi sasa wameshambuliwa na alosto ni kapeace na Joseverest. Weka kura yako..

Nasikitika sana kwamba amenisahau katika hicho Kikosi chake cha hao ' Members ' wa JF anaowashambulia.
 
ni kujishusha kumjadili huyu kenge mwitu kuna member humu kaweka link ta nyuzi zake nikampuuza kupita maelezo .
bill water II lete zile nyuzi za Alosto member wampokee vizuei hapa
 
Endelea kuwaza hivyo hivyo ila najulikana na ID yangu hii hii moja iko verified nianze kufungua ID nyingine ya kujipromote/Kiki kwa sababu zipi labda?? Huo ujinga/upuuzi sijawahi na sitakaa niufanye. Asante
mkuu achana na hao wenye wivu,walianza kushambulia uzi wa likes wamezodolewa sasa wanaanza personal attacks. Sisi tulio wengi tupo upande wako wala usijali mkuu Joseverest
 
Back
Top Bottom