Ni Ke kabisaBantu Lady hivi yule ni ke kweli?π₯Ί
Weeeh,Ni Ke kabisa
π€£πVishu Mtata huyu jamaa ni mtu makini sana, hakika nikikutana nae nitafaidi madini tukuka yaliyo ndani ya hilo bichwa lake.
Hiyo miwani ya kisomi bila shaka hakosi phd ama uprofesa.
Kuna tetesi kua ni agent makini wa kimataifa,(007), wanamuita James Bond wa kibongo japo naskia yeye hapendi kabisa hilo jina.
Cc Poor Brain
Intelligent businessman
Bichwa komwe mtoto wa watu?
Ongezea kitimoto, ndizi & biaYoyote mdau wa bia na nyama choma.