Jf doctor msaada tafadhali

Jf doctor msaada tafadhali

liman

Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
29
Reaction score
4
Abari za kazi,nina tatizo la mkojo yani kuna wakati nakojoa mkojo kma wa moto vile unaambatana na maumivu kwa mbali,lakni wakati mwingne nikinywa vitu kama maji,bia nakojoa mkojo wa kawaida tena mweupe,hospt walicheki wakaniambia huna tatizo,naombeni msaada wenu ndugu zangu.
 
Labda huna utaratibu wa kunywa maji mara kwa mara, kama ni kweli basi jijengee huo utaratibu. Siyo mpaka uwe na kiu!
Huo ni mtazamo wangu tu, ila natumaini JF doctors watakusaidia kitaalamu zaidi..
 
........endelea kunywa maji mengi then utaona mabadiliko
 
Back
Top Bottom