JF DOCTORS: Hii scientific proof mnaizungumziaje?

JF DOCTORS: Hii scientific proof mnaizungumziaje?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Habari za jioni wakuu?

Bila shaka mko salama.

katika pita pita nimekutana na mjadala katika site flani hivi watu wakijadiliana juu ya viability ya vidole (pichani) kutofautiana kwamba inaweza kuwa inaonesha mwanaume halisi na asiye halisi (shoga).

kwenu ninyi mnalizungumziaje hili suala?

attachment.php
 
Utawapa kazi watu tujikague mara kumi kumi kujua jinsia zetu japo tunajijua ni wanaume.
 
Hivi ushoga ni ulemavu au tabia tu mtu anairukia kutokana na sababu zake?

To what I guess,ni wachache sana kama wapo wenye ushoga wao ni hormonal disorder.

Haya mashoga(if any) more clarifications.
 
Habari za jioni wakuu?

Bila shaka mko salama.

katika pita pita nimekutana na mjadala katika site flani hivi watu wakijadiliana juu ya viability ya vidole (pichani) kutofautiana kwamba inaweza kuwa inaonesha mwanaume halisi na asiye halisi (shoga).

kwenu ninyi mnalizungumziaje hili suala?

attachment.php
Uongo mtupu huu sio kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom