JF Doctors hili ni tatizo gani kwa uume?

JF Doctors hili ni tatizo gani kwa uume?

Condyloma latum(Secondary syphilis)

Alaf broo the best diagnosis inapatikana ukiweka the original picture ya mgonjwa na sio kitu ulichochukua mtandaoni.

Pili, diagnosis sio jambo rahisi hivo, inahitaji ujue history ya mgonjwa na tests zifanyike, usidhani picha tuu inatosha.
Precisely Chief!

Tatizo la picha za kutoa mtandaoni huku ukidhani zinafanana na ugonjwa wako Unaweza ukasema condylomata lota kumbe ni Just norma PPP au fordyce spots au unaweza ukatataja Mengine kama G.watz..

Si kila Popules za kwenye Genital zinafanana unaweza ukaona ziko sawa na za kwako ila uchunguzi wa Hizo vipele plus Vipimo plus History yako wewe vikaleta ugonjwa mwingine...
Maana hata scabies huweza kusababisha Hiyo condition hapo Juu ikaitwa balanitis Circinata
kwa sababu naona hata mkono nao una kama Rashes..
kingine imatakiwa ichunguzwe imeathiri vipi Frenulum ili tujue imecross frenulum au haikucross


So please kama kweli unaumwa nenda hospitali iliyokaribu na wewe kwa uchunguzi...maana ni muhimu kujua..
  • History of the popules Vilianzaje Je umewahi kuugua ugonjwa wowote kabla (Maana kwa picha hiyi inaonyesha ni Dalili ya 3rd Stage Syphilis ambayo ndo condylomata)
  • Examination ni muhimu sana kujua Texture of the popules the hardness and location kuna vitu vingi sana vya kuangalia maana hata chancroid nayo huanza hivyo hivyo..
  • Lazima ufanye investigation ..
 
Back
Top Bottom