Pole sana kwa kuumwa namkono fanya hivi. Tafuta Karafuu gramu 50,Pilipli mtama gramu 50,Tangawizi kavu gramu 50 vitu hivyo vyote twanga uchekeche upate unga wake Uchanganye na na siki ya Zabibu ( Vinegar) Au siki ya Apple (Apple cider) chupa moja uwe unajipaka kila siku asubuhi na usiku kwa muda w siku 7 inshallah akipenda Mwenyeezi Mungu utapona . tumia kisha unipe feedback...@kveliaNdugu zanguni wataalam, nina tatizo la muda mrefu. Nikiwa kijijini kama mwaka na nusu uliopita nilikuwa namwelekeza ng'ombe kwenye zizi lake ghafla akanivuta na mkono ukauma sana. Nilienda hospitali nikapigwa X-RAY doctor akasema hakuna mfupa ulioteguka wala kuvujika, nilipewa dawa za kutumia kama mwezi hivi. Nilipata nafuu lakini baadae kama miezi sita hivi kipindi cha baridi mkono ukauma tena na haufai kabisa kufanya kazi yeyote. Nauliza kuna uwezekano nikapona na niende wapi, NISAIDIENI JAMANI, TATIZO NI NINI. Natanguliza shukrani
Pole sana kwa kuumwa namkono fanya hivi. Tafuta Karafuu gramu 50,Pilipli mtama gramu 50,Tangawizi kavu gramu 50 vitu hivyo vyote twanga uchekeche upate unga wake Uchanganye na na siki ya Zabibu ( Vinegar) Au siki ya Apple (Apple cider) chupa moja uwe unajipaka kila siku asubuhi na usiku kwa muda w siku 7 inshallah akipenda Mwenyeezi Mungu utapona . tumia kisha unipe feedback...@kvelia