Jf Dustbin awards ... 2019 (Top 10)

Randy orton

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2019
Posts
1,338
Reaction score
3,561
Kuzingatia kwamba moja ya slogan za JF ni “where we dare to talk openly “ kuanzia sasa hadi kufikia mwisho wa mwaka huu nitaweka hapa list ya post mbovu kabisa ( utumbo) zilizowekwa kwenye majukwaa mbali mbali hapa JF.

Lengo , kuwarudisha watu kwenye mstari wa Great Thinkers, na kuwatoa kwenye shimo la kupost vitu kwa kutaka teuzi, sifa za kijinga au mazoea

Mshindi- atapatikana kwa kura zitakazopigwa na wachangiaji

Nyingine mtazileta wenyewe


N.B

Dustbin awards hazitahusisha post za kimasihara na kusogeza muda kama ile ya kufanya mapenzi kimasihara na nyingine zote za kwenye Jukwaa la mahusiano/Mapenzi na la Celebrities.



1. Paschal Mayalla ...

Jioneeni wenyewe mashudu aliyoandika, akisisitiza Kigezo cha kupatikana kwa Rais kiwe ni ukabila , tena kutoka kabila lenye watu wengi.

Unaweza jiuliza if the said person was on drugs , ila ndivyo hivyo mwenzenu ndio anajiona katoa bonge moja la hoja , unajiuliza mtu kama huyu akipewa uongozi atafanya nini !!!



2. To be continued


ATTACH=full]1251692[/ATTACH]
 

Attachments

  • IMG_0455.JPG
    54.7 KB · Views: 3
Huu uzi Utakuwa funga mwaka

Zilete na nyngne mkuu
 
 
Dah...nitashangaa Sana kana Uzi huu hautaingia [emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…