Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,this is very nice, ila sijaelewa kwenye parliamentary counts, would have been great kama hapo kwenye bar chart ya general results zingewekwa in form of seats. sijui wengine mnaonaje?! ni mawazo tu!
shukrani sana mkuu.
Wakuu,
Matokeo haya ni kadiri yanavyoingia NEC; tatizo kubwa ambalo tumekumbana nalo na huenda hamjui ni kuwa:
Wale mnaoangalia TVs, ni njia rahisi sana na mbadala ya kuweza kupata hali halisi kwani wao wanasoma yaliyo vituoni promptly.
- Vituo vilivyokuwa kwenye daftari la wapiga kura na vinavyokuja kwenye matokeo ya sasa vinatofautiana sana, inatupa wakati mgumu kuweza kung'amua nini chanzo.
- Vyama vilivyoonekana kuchuana kwa karibu ni CHADEMA na CUF (bara) na ndo maana tukawa na list ya vyama hivi ili kuonyesha mchuano ulivyo.
- Kuna watu wanadai hawaoni tofauti: Bluu ni upande wa urais na nyekundu ni upande wa ubunge.
- Tunapata majimbo kwa awamu, matokeo yaliyoingia NEC mpaka mida hii hayajaonyesha uhalisia wa matokeo kijimbo.
TUNASIKITIKA kuwa kuna delay kubwa tofauti na matarajio yetu, matokeo yanaweza kuwasilishwa NEC masaa mawili au matatu yajayo kwa wingi hivyo tutarajie lolote.
Kwa mujibu wa observer wetu, race kubwa ni kati ya JK na Slaa
Mkuu,Mkuu hebu fafanua kidogo basi,
Ukisema CHADEMWA wana kura 3500 una maana hizo ndo namba zenyewe au ni x1000?
Mkuu,
Matokeo ya kura 3,5000 ni bila kuzidisha kwa 1,000.
IMAGINE: Jimbo la Ubungo (alipo Mnyika) ndo wanaingia URAFIKI ili kujumlisha kura sasa hivi!
Wanaoanza kusema eti mgombea flani kishashinda kwa 80% ndo maana nawashangaa, zoezi liko slow sana baadhi ya majimbo. Hali hii inakatisha tamaa sana
Mkuu ni MAJINA YA VITUO, si matokeo ya kura lol, manake ukinisoma vibaya hapo utaweza kuhisi vingineMkuu Melo huo mstari hapo juu mbona unatisha? inakuwaje matokeo yawe yatofauatiana?