Hahaa. Sikumbuki vizuri mazee. Inawezekana Sokoine.
Sokoine alikuwa anasifiwa eti Waziri Mkuu mwenye suti tatu, anarudia hizo hizo kila siku.
Hilo nalo tuliona hambo la kusifia.
..Dah!!
..kazi kweli.
..kwa hiyo mtu mtanashati alikuwa hafai kuongoza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa. Sikumbuki vizuri mazee. Inawezekana Sokoine.
Sokoine alikuwa anasifiwa eti Waziri Mkuu mwenye suti tatu, anarudia hizo hizo kila siku.
Hilo nalo tuliona hambo la kusifia.
On the contrary, I see no problem therein.And therein lies the problem.
Nakumbuka sana pale kanisani St Joseph akiwa amekaa katikati ya walinzi wawili benchi la pili kutokea mbele.
Akipenda kuvaa kaunda suit, alikuwa mtu mmoja mpole kwa muonekano wa nje.
Siku anafariki April 11 1984 nimetoka shule Forodhani nikaanza kusikia nyimbo za maombolezo, ilikuwa siku ya huzuni.
Upanga kuna mtu aliokota boksi la dawa za kupigia mswaki jalalani, wahindi walitupa kwa kuhofia kuitwa walanguzi.Jamaa mmoja alinisimulia, watu wenye maduka walikuwa wanatupa bidhaa kwenye mito kwa kuogopa kukamatwa.
Kama ni kweli, it is better he died early.
But kuna kitu kimoja huwa najiuliza.Ukiangalia Tanzania ya leo, Watanzania wenye asili ya Asia ndio wafanyabiashara wakubwa. Sababu huwa nadhani ni kwa sababu wao ni wafanyabiashara tokea miaka mingi hata kabla ya uhuru.Upanga kuna mtu aliokota boksi la dawa za kupigia mswaki jalalani, wahindi walitupa kwa kuhofia kuitwa walanguzi.
NI wazi kuwa wapo watu wanaoishi kwa masimulizi ya mitaani. Bahati mbaya sana hatuna kada nzuri ya wanahistoria ambayo ingeweza kuangalia mambo ya kihistoria kwa mwanga wa historia. Kauli yako kuwa ni "it is better he died early" inaonesha siyo tu hujui historia lakini hujatumia muda kuchunguza kwanini aliliwa na watu wengi. Leo hii Magufuli anapewa ulinzi mkubwa sana na watu wengine hawaelewi kwanini..Jamaa mmoja alinisimulia, watu wenye maduka walikuwa wanatupa bidhaa kwenye mito kwa kuogopa kukamatwa.
Kama ni kweli, it is better he died early.
Ilifanikiwa kupitiliza; tatizo kubwa ni kuwa wakati haya yanatokea Tanzania haikuwa na legal regime ya kushughulikia mambo haya. Hili ndilo lilikuwa tatizo kubwa zaidi. Hatukuwa tumewahi kupitia hali kama hiyo na complexities zake. Nchi nyingi (ikiwemo Marekani kwa mfano) zimewahi kupitia ugumu kama ule na wameshajifunza kiasi kwamba wana sheria nzito sana za kushughulikia walanguzi na wahujumu uchumi.Nimekuelewa vizuri.
Nilichojifunza zaidi Kwenye comment yako ni kwamba, hiyo Vita dhidi ya wahujumu uchumi kama walivyodai haikufanikiwa kwa kiwango kikubwa.
I think I'm right kufikiri hivyo.
Ilifanikiwa kupitiliza; tatizo kubwa ni kuwa wakati haya yanatokea Tanzania haikuwa na legal regime ya kushughulikia mambo haya. Hili ndilo lilikuwa tatizo kubwa zaidi. Hatukuwa tumewahi kupitia hali kama hiyo na complexities zake. Nchi nyingi (ikiwemo Marekani kwa mfano) zimewahi kupitia ugumu kama ule na wameshajifunza kiasi kwamba wana sheria nzito sana za kushughulikia walanguzi na wahujumu uchumi.
Yah asante kwa kunisahihisha ni kweli ilikuwa tarehe 12 April siku ya Alhamisi. Masika ya 1984.Naomba nikusahihishe kidg..Sokoine kafariki 12.04!hii ni siku muhimu kwangu!
Nilikuwa mwanafunzi wa shule ya msingi, nimerudi nyumbani nikaanza kusikia nyimbo za maombolezo.Ndo siku niliyozaliwa!🤗...
Nilikuwa mwanafunzi wa shule ya msingi, nimerudi nyumbani nikaanza kusikia nyimbo za maombolezo.
Ilipofika saa kumi Rais Nyerere akatangaza habari ya msiba wa Sokoine.
Alizikwa Jumapili asubuhi, nakumbuka mimi na RIP Mama tumekaa sebuleni tukifuatilia RTD iliyotangaza live mazishi.
Marahaba Manengelo 🙏🙏Rip mom!shikamoo kaka!
Marekani ukizingua unafungwa pasipo kuangalia pato au jina lako.Ilifanikiwa kupitiliza; tatizo kubwa ni kuwa wakati haya yanatokea Tanzania haikuwa na legal regime ya kushughulikia mambo haya. Hili ndilo lilikuwa tatizo kubwa zaidi. Hatukuwa tumewahi kupitia hali kama hiyo na complexities zake. Nchi nyingi (ikiwemo Marekani kwa mfano) zimewahi kupitia ugumu kama ule na wameshajifunza kiasi kwamba wana sheria nzito sana za kushughulikia walanguzi na wahujumu uchumi.
Kawawa alimpenda na kumuamini Nyerere, Nyerere alimpenda na kumlinda sana Kawawa sababu ya ukaribu waliokuwa nao. Nyerere toka enzi hakuruhusu Kambona wala yoyote awaye amsumbue Kawawa, alimuita binadamu wa aina yake na duniani hapa watu wachache wanazaliwa na roho aliyokuwa nayo Kawawa..Nyerere alikuwa akimpenda nani zaidi kati ya Sokoine na Salim Salim?
..Mzee Kawawa hakuwa anautamani Uraisi.
..Kawawa alibebeshwa misalaba ya watu wengine na hakuwa na kinyongo.