JF Exclusive: Wawindaji tuliowauzia wanyama na ardhi yetu tukichekelea!


Sina shida na wageni kuja nchini. Lakini ningekuwa kiongozi ningewakamua vizuri kwenye malipo ili mapato yawanufaishe wananchi wangu maskini. Tatizo la viongozi wetu ni kuacha wageni wanatanua kiasi hicho kwa malipo cheeee! Inauma sana.
 
Hivi swrikali yetu inakaa kimya kwa hili maanake nini?
 
Kazi ya M k w e r e hiyo amepewa madaraka na nguvu asizojua kuzitumia yeye amezoea utumwa alioridhi.

Una hasira na JK kiasi kila kitu unampachika yeye.

Loliondo Gate ni zao la Ali Hassan Mwinyi. Hii ilifanya hata mwandishi Katabaro wa gazeti la motomoto kipindi hicho apotezwe.


Hao waraabu kuwa Loliondo sio tatizo. Tatizo ni kashfa nzima iliyowamilikisha Loliondo
 
woooooooow sheykh zayeed,,,mashallah i'm verry proud of u to be in africa woooow lovely picture ...and his son mashallahaleyyk...mwaaaah nice picts,,,
 
masura yao yanatisha kama wanakula..nnya vile, na wanataka kama kujilipua, kweli kizazi cha nyoka kilichokataliwa, cha mama wa kambo/housegirl hakitakuja kubadilika jamani..duh...
 
masura yao yanatisha kama wanakula..nnya vile, na wanataka kama kujilipua, kweli kizazi cha nyoka kilichokataliwa, cha mama wa kambo/housegirl hakitakuja kubadilika jamani..duh...

Tehe, tehe, tehe!
 
Kwani viongozi wa kizazi hiki wana tofauti gani na akina Sultan Mangungo wa Msovero? Hebu nijuzeni wadau.

Ndugu yangu, ni afadhali kina mangungo walikuwa hawajui, haya manyang'au yanajua yafanyacho ni maksudi tu!
 
Mimi namuunga mkono kwa ndugu aliojibu kama hao waarabu hawakuingia kwa wizi bali kwa kibali maalum toka serekalini.Sioni sababu ya kukereketwa na kuwepo kwao nchini,isitoshe unajua kama fedha ngapi ya geni imeingia nchini?
Huyo ni kiongozi wa nchi kwa taarifa yenuni mtu muhimu sana katika dunia hii, na huwa anajitolea mno kututangaza na kutusaidia. Hapa anakuja kupumzika tu baada ya kutengeneza pesa zake za kutosha ameona hapa kwetu panafaa kuja kupumzika why don't we try and use his trips to show the world how beautiful our country is? Queen Elizabeth akienda kenya it becomes a campaign to woo more tourists to the country sie badala ya kutafuta namna ya kuongeza uelewa wa watalii juu ya nchi yetu akija mtu maarufu na tajiri inageuka kashfa, mpaka lini?
 
waliniolea mke hawa jamaa na kunivunjia ndoa!nawachukia kama shetan pamoja waliowaleta nchin(ccm)!wanamkambi wao karibu na maeneo ya Wasso!haki ya mungu,.....sina uwezo tu,ningewashtaki
 

kinana...

...cha wajinga huliwa na wajanja
 

Viongozi wa nchi na wapo hapo kihalali sasa tatizo liko wapi ? Tatizo liko kwako niambie tu wewe una faida gani nao. Juzi wamechukua wanyama kinyemela wamepeleka Arabuni. Labda swali la msingi ni kuwa pale ni kwao ndani ya Tanzania kwa sababu wamemirikishwa kwa miaka 999. Viongozi wako wenye akili ya kumirikisha mgeni miaka 999. Mriki ambayo haipo kwenye sheria zetu za nchi. Ngoja hao viongozi wako waondoke madaraka usikie moto utakao wawakia. Bado kidogo tu wataondoka halafu usikie mziki wake.
 
viongozi wetu ndo wamewapatia hilo shamba la bibi, tusiwalaumu waarabu au wengine wanaoitwa wawekezaji kwani tunawaruhusu wenyewe kwa maslahi yetu binafsi. Watanzania tuamke tukatae unyonyaji huuuuuu!!!!!!!
 
Tanzania si waarabu tu wenye vitalu. Vya wazungu ndio vingi zaidi, hatujaona mtu yeyote akisema kuhusu hilo. Au ni kwa dini zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…