Kweli kuna hili kundi linaloitwa ccm ni kama wahaini wakubwa duniani. Umefikia hatua kama hii sasa? Hata waarabu na wanapiga picha na magari license plates zipo ila kikwete na serikali wanafanya kama vile hawapo ... wanasubiri mpaka ofisi ya raisi itoe decisions, fool of ....
Mimi nilishaamini tangu zamani kwamba kikwete na hawa wahuni wanajifanya walichaguliwa na hizo pesa za waarabu na wahuni mafisadi wenzano sio watu wa kuwakubali kabisa. Sasa tuseme nini baada ya wizi deals na evidence nyingi zipo open. Tuanzie wapi kuwapiga bakora? Hawa wanaomlinda kilkwete na makundi yao ni watu wa namna gani? Sijui kama kuna evidences zingine mpaka serikali ielezwe lolote ... waondoke serikalini mwetu na kwa kifupi ni hivi hayo maofisi dar na dodoma yamebaki ni majengo matupu hakuna wafanyakazi wowote wale serikali.
Chadema hizi ndizo issues sisi na wananchi tumekuwa tunataka zianikwe mbele ya taifa. Hatuitaji kuomba vibali kwa hawa wahuni kuandamana au kudai hii serikali ijiuzuru na kuondoka kabisa. Tufanyeni mikakati kama tunavyofanya na this time tuhakikishe kuna impact kubwa na mabadiliko ya kweli. Tunaposubiri na kusikiliza kikwete au mawaziri wa utalii au nishati na madini tunafanya hivi kwa idhini ya nani? Hakuna sheria Tanzania na wananchi tunajua wazi hili taifa lina endeshwa kwa utamaduni wa watanzania na huu ndio ume-to cost mpaka leo hii. Hakuna katiba wala justice Tanzania na anaye repudiate this aje kwenye JF na atueleze hili.
serikali ya kikwete ni uhuni na ujambazi
Wanapodai kuna idara za upelelezi, usalama, mahakama au wanasheria Tanzania ni nani hao? Wanapotaja majina ya mawaziri na viongozi wa ccm ni nani hao kama sio wahuni wa mitaani?