FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Mwenyezi mungu awatangulie katika sherehe hii njema ..
Mialiko tushapata pia karibuni kwangu Pilau supu kasoro wale wanaopeleka maji ya TBL kinywaji chenu hakitakuwepo ,soda na juice kwa wingi