JF FC-The Dream Team

Mbona sijamuona AbTchaz hata kwenye kamati yeyote then KKN must in first XI

Hapa KKN yeye ni Super Sub aka Golden Boy(Kama Hassan Hafif enzi zile) yeye kazi yake ni kuusoma mchezo ili kama mastriker wananoanza akina YoYo wanashindwa kufunga magoli yeye ndo anakuja kuokoa jahazi/kutengeneza ushindi,so KKN kawekwa benchi kwa sababu maalum za kiufundi.....Kuhusu hao wazee wao ni 'kamati ya ufundi',hope unajua nini kazi ya kamati ya ufundi kwenye soka letu la BONGO....Ushindi lazima mkuu
 
Hapa hakuna cha Simba na Yanga wala Prison,Mtibwa sijui Kariakoo Lindi wala Mji Mpwapwa...Hii ni JF FC-The Dream Team ambayo wachezaji wake wamechaguliwa kutoka Timu mbalimbali zilizomo humu ndani ya JF.....Haya ya Kamati ya Ufundi yasikutishe,ni vijimambo tu vya kuchochea ushindi.....Nina Imani sana na Timu hii jamani
 
Bila kumsahau mganga wa timu na tunguli zake, mlozi mkubwa Nyani Ngabu akisaidiwa na cup-muhogo/cup-kiazi wake Kelly01...

SAsa hizo 2nguli wataweza kuzichanganya kweli au wataishia ktk kukumbatiana na mabusu knd mbele? Tukistuka kipindi cha kwanza 2shapewa dozi ya idadi ya vidole vya mkono m1!!!!

Tehe heeeee!!!!
 
Balantanda

Good imagination nilipokuwa kijana nilikuwa nacheza kama kiungo mzuiaji, kaumri kameenda lakini soka bado lipo kwa sasa nacheza na veterani wenzangu kama mkoba (sentahafu) si unajua tena pumzi...

Hii ni team ya ushindi...
 
Kwa wale walioshiriki umiseta ya 1988 nilikuwa kwenye timu ya football kanda ya mashariki....hii thread imenikumbusha mbali...kudos JF!
 
MIMI KAMATI,ya saidia JF,ishinde is not my cup of tea,me has enough benjamins to be the rightful SPONSOR/MFADHILI of team JF
 
Balantanda!
You must be creative kwakweli. Nafikiria jinsi ulivyokaa chini na kuipata hii JF FC Dream team.
 
Plz timu manager, Ab Tchaz akipona hernia next time you need to include him.
 
SAsa hizo 2nguli wataweza kuzichanganya kweli au wataishia ktk kukumbatiana na mabusu knd mbele? Tukistuka kipindi cha kwanza 2shapewa dozi ya idadi ya vidole vya mkono m1!!!!

Tehe heeeee!!!!

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...Mbavu sina lol
 
Sasa Gembe mmemtosa?

Gembe hajatoswa mkuu,nina uhakika atakuwepo kwenye kikosi kingine kitakachotajwa hapo baadae..Tumeona tuanze na timu hii kwanza
 
Plz timu manager, Ab Tchaz akipona hernia next time you need to include him.

Ab ana nafasi kubwa sana ya kuitwa kikosini,ngoja tusubiri tu apone,pia itategemea na ushauri wa Daktari anayemtibu
 
Balantanda!
You must be creative kwakweli. Nafikiria jinsi ulivyokaa chini na kuipata hii JF FC Dream team.
The thing is,make it happen au mnasemaje jamani?Kwasababu faida za michezo kila mtu anazijua siyo unabuni/tunabuni kitu halafu kinaishia kubakia katika maandishi;tutekeleza ili watu waone kitu halisi na wafaidike nacho kwa upande mwingine.
 
Plz timu manager, Ab Tchaz akipona hernia next time you need to include him.

Wewe mtu nakutafuta kama nanihino!!!!...Hernia ishapona toka Scolari atimuliwe.Si unaona matokeo yake?
 
Ab ana nafasi kubwa sana ya kuitwa kikosini,ngoja tusubiri tu apone,pia itategemea na ushauri wa Daktari anayemtibu

Mkuu,

this is a very creative thread that you started.Bigups to you!
 
Mie nilicheza KAMISETA,UMISHUMTA na FC LEOPARD naona umenisahau Striker wa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…