Bishanga ana uzoefu wa kutosha, tatizo lake vimini, havimpiti lakini Kongosho yupo kumdhibiti. Akifanya mchezo Boflo atachukua nafasi ya ukochaBishanga Kocha !!!kasomea wapi au wa kuangalia kwenye television?
Unaonaje tukasaidiana kutafuta wachezajimi nipangwe timu ya kuogelea......
Hii nafasi kaomba Saint Ivuga, lakini elimu na uzoefu utazingatiwa. By the way, hatutaki migomo kwenye timu.mi daktari wa timu.!!! ntakua nawapa general chekups kila siku asubuhi na jioni...
Tafadhali muone afrodenzi kwa mipango zaidi.mkianzisha rugby mnijuze tafadhali. . .
sio MVP?na the UndertakerMie mieleka tafadhali, nitafutie na Triple H wangu kabisa.
Mwenzio mie na John Cena sitaki kupitwa...Triple H yule kama kawa ..haya makitu nafatilia sanaHivi kumbe FirstLady1 nawewe umo eeeeh?
Lol usimsahau Triple H
Yan hakuna mchezo niupendao kama Mieleka...Mwenzio mie na John Cena sitaki kupitwa...Triple H yule kama kawa ..haya makitu nafatilia sana
mkianzisha rugby mnijuze tafadhali. . .