JF Female Sports Club

mi nipangwe timu ya kuogelea......
Umependesa wewe! Ningependa kuwa kocha wako.

Hii tutaiita Mieleka Kungfu Fusion Tema

Mnahitajika sana. Nashauri mkutane kugawana majukumu

Ummu kulthum, utakuweko kwanye kamati ya chakula, wakati wa kushangilia utaungana na kirania cacico kukata nyonga

Nyinyi mnaweza kuwa kikundi kimoja cha KAMATI YA UFUNDI. Msiwasahau MziziMkavu na Mwali.

Naomba jezi niingie uwanjani.
12 inakufaa na imekukaa kweli
 
Mie mganga wa timu (kamati ya ufundi). Naomba MziziMkavu awe msaidizi wangu. Tunaloga mechi zote tunashinda wenyewe.

Shosti kumbe unajua kupunga MARUHANI!
haya usisahau tunguli zako lakini mie sitaki kuwa kiranja mkuu wa kubeba hirizi, maan wabeba hiridhi hawakawii kufa uwanjani LOL
 
Last edited by a moderator:
Timu ikiingia kambini lazima kwanza ichezwe Unyago ili isije ikawa inatoa siri za timu... RR atakuwa kumgwi msaidizi, na mie nitakuwa Manju

Well.... Zinduna asante kwa neema hii...
Nipo availabo kwa 106%.....:hug:
 
Last edited by a moderator:
mtu chake inabidi uwe na pesa nyingi ili uwe mfadhili wa timu sasa sijui accounts zako zinasoma dollars,euro,pounds..ama TSH/=
...ucjari CUTE...mie tena..unanijua unanisikia ..?..kwa kuanzia timu kambi..S.A
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…