Swali langu la pili, ataanza kujibu mkuu Matola:
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita, Rais Kikwete alitoa ahadi nyingi tuu ambazo alisema atazitekeleza kama angechaguliwa kuwa Rais. Baadhi ya hizo ahadi zimeonyereshwa Jukwaa la Siasa. Je, unafikiri anawea kutekeleza ahadi zote alizotoa kabla ya uchaguzi mkuu ujao?
Mkuu, una dakika kumi na tano kujibu swali hili, baada ya hapo nitamkaribisha Zomba. Karibu Matola.
Swali langu la pili, ataanza kujibu mkuu Matola:
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita, Rais Kikwete alitoa ahadi nyingi tuu ambazo alisema atazitekeleza kama angechaguliwa kuwa Rais. Baadhi ya hizo ahadi zimeonyereshwa Jukwaa la Siasa. Je, unafikiri anaweza kutekeleza ahadi zote alizotoa kabla ya uchaguzi mkuu ujao?
Mkuu, una dakika kumi na tano kujibu swali hili, baada ya hapo nitamkaribisha Zomba. Karibu Matola.
Ndugu wana JF hapa huitajiki kuwa Political analyst kujuwa kwamba hapa JK aliwatapeli Watanzania kwasababu alijuwa wazi yeye akishapata Urais hatorudi tena kuomba Uongozi. Huu ni Uhuni na uwongo mtupu.
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...
- Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
Ni matumaini yetu kua Matola (ambae aliomba radhi kwa matatizo alio pata na computer yake) atauliza swali la ufafanuzi mwisho wa mjadala huu, tunajaribu kuokua muda. Sasa tunamkaribisha mkuu Zomba kumuuliza Matola swali la ufafanuzi wa jibu lake la pili. Tunampa dakika tano kuulia swali hilo. Karibu Mkuu.
Kwa sababu ahadi ni nyingi na kwa vile Matola hakuuliza swali la ufafanuzi, naomba tuendelee na maswali mengine, unaweza kupost huo ushahidi baada ya mjadala kumalizika. Kwa sasa tunaendelea na swali langu la tatu ambalo utaanza kujibu wewe.Mwali naomba ruksa nimjibu kila alchobandika Matola hapo kimoja kimoja kila tunavyoendelea, na kwa ushahidi kabisa kuwa ahadi zinatekelezwa, naanza na hiyo ya kwanza na ushahidi huu hapa kuwa inatekelezwa, "feasibility study tayari":
http://www.dailynews.co.tz/index.php/parliament-news/7700-railway-line-rehabilitation-to-cost-41bn
Ndugu wana JF hapa huitajiki kuwa Political analyst kujuwa kwamba hapa JK aliwatapeli Watanzania kwasababu alijuwa wazi yeye akishapata Urais hatorudi tena kuomba Uongozi. Huu ni Uhuni na uwongo mtupu.
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini