JF-get together party Disemba 2018

Sijawahi andaa party jf,
Lkn nilikuwa nasimamia party, harusi, send off ya zaidi ya watu 1000.

Kuanzia mapambo, chakula, vinywaji, usafiri na hata honey moon zao.

Kwa umri wangu mdogo nishapewa uenyekiti wa kamati ya harusi ya watu 800.

Sasa we unaongelea party ya watu 50?

Dada,
Naomba ning'atuke kwenye uzi huu,

Kwa heshima ya walionifata PM.
 
Khaaaa sasa huko chanika na huko kino itakuwaje sasa kwenye party ukienda utakuwa na mumu mm nitawapitia badae sana wakati wa kuondoka
Acha tu shoga angu tutaongea kule chembaa best!!![emoji22] [emoji22] [emoji22] chanikaaaa mojaaa...!!!

Halafu hayo ya kutupitia mi naona Mimi na wewe tukutane pale kwenye mishikaki ya 300 halafu tuwapitie mzigua na mumu!!!au wasemaje!
 
Yameisha tumekuelewa ila hata hapo ni sehemu kama bucket na mauzui ya party ni sehemu kwa akili ya kujuana. Bucket hatuwezi kwenda tukasema watukodishe sisi sana JF tu pekw yetu ambao hatuwezi kufika hata 60 huoni atataka hela nyingi kufidia wateja wake wengine ambao hawatajuwepo siku hiyo. Labda siku tuandae party ya kwenda kunywa na mziki hayo maeneo yangefaa maana hakutakua na haja ya kuwa sisi peke yetu.
Tumeangalia na urahisi pia wa venue kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…