FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Wanasemaga fuata nyuki ule asali[emoji219][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasemaga fuata nyuki ule asali[emoji219][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchumba unaitwa huku Don ClericuzioNa ndiyo kusudi langu hiyo siku sitaki kuvaa pichu kabisa
Njoo bana RebbieMie nitakuja Ila Hamna atakenijua hehee Just joking
Namuona anauenzi usenior ilihali akija atashikwa mkonoHuna akili wewe ujue
Mchumba unaitwa huku Don Clericuzio
Saa kumi na mbili jioni[emoji23][emoji23]Ingekuwa kuanzia saa sita mchana hadi kumi na mbili au mbili usiku angalau ningeweza ila huo usiku mnene pagumu
Kuna kitabu cha wagen na ID zao[emoji23]Mie nitakuja Ila Hamna atakenijua hehee Just joking
Sawa organiser nimekusomaJamani. Inaanza SAA kumi na kuendelea. Ukitaka kuondoka hata SAA moja unaweza mbona
Yooooh kwa mema lakin[emoji23]Na ndiyo kusudi langu hiyo siku sitaki kuvaa pichu kabisa
Oooh yeah too casual asieeEeeh ile. Ndo shida ya coco. Coco sio makutano ya muda mrefu. Ile one two hrs hamna shida. Ila kusema kula na kunywa na kamziki kidogo hapafai
Potelea kushoto na hao waliokufata Pm.Sijawahi andaa party jf,
Lkn nilikuwa nasimamia party, harusi, send off ya zaidi ya watu 1000.
Kuanzia mapambo, chakula, vinywaji, usafiri na hata honey moon zao.
Kwa umri wangu mdogo nishapewa uenyekiti wa kamati ya harusi ya watu 800.
Sasa we unaongelea party ya watu 50?
Dada,
Naomba ning'atuke kwenye uzi huu,
Kwa heshima ya walionifata PM.
Utashukia kituo kipya mbezi mwisho[emoji85]Heee imeenda wapi?? Jamani sasa nikitoka huku kijijini nashukia wapi
Sina hakika[emoji2] [emoji2] [emoji2]Uje buana[emoji23]
WeekendHuyu mtoto nashangaa hajalala mpaka saa hii, sijui kanywa nini.
Hakika nitakuwa nayo mimi usijali[emoji3]Sina hakika[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wewe unayo yangu imepoteaa[emoji2]Hakika nitakuwa nayo mimi usijali[emoji3]