Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Mzigua90Haujajua tuu unabishana na mtu aliyelalia ubao. Stress za njaa
Sawa sawa naweza nikahama timu hiyo siku
[emoji3] [emoji3]Maajabu watu wanachambana huku wanapeana likes[emoji15] [emoji15]
Something fishy[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Chillax fella. We need ur opinions nd way forward not all this distracting abcNaomba uniambie kuna nini kipya kwenye party hii??
Mi sio harusi tu, event za makampuni mbalimbali nilikua nasimamia. Kuanzia NMB, TBL, za serikali ndo usiseme mana tulikuwa mzabuni huko.
Sasa dada angu unaniambia party ya watu 50? Budget ya 1.5M??
Napoteza nguvu bure tu hapa.
Mlipie mkuu haina shida@Mzigua90
Naomba nimlipie huyu dada!!
HahahahhhaNdo mana nasema we bado sana mama!!
Mi nakupa shulee.
Watanzania wengi wanapenda kupata vitu vikubwa zaidi ya pesa aliyo toa.
Pia, shughuli una ambiwa ni ya watu 300, lkn unashangaa wanakuja 400,
Unaweza kuchomoka hapo??
Uhakikishe sherehe inakwenda vzr kumlinda mteja??
Party yako ni rahisi sana, tena mi party km hiyo wala hainisumbui kichwa, simu zangu tano tu nikipiga kila kitu mnakuta kiko sawiaa.
Yani wewe dada hovyo kabisaa
@mzigua90 njoo chukua hela yangu hapa.@Mzigua90
Naomba nimlipie huyu dada!!
SawaI mean utaikuta kwangu[emoji13]
Haah...we ushaonaga wapi dunia hii[emoji3] [emoji3]
YaaniMaajabu watu wanachambana huku wanapeana likes[emoji15] [emoji15]
Something fishy[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] hakuna kurara fita ni fita muraaWe nawe lala.
Saa 6 usiku hii.
Ila mliuza sana maana ktk hot list couple 5 za jf nyie mlikua hamkosi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shem nacheka mm ujue jf hii usiichukulie serious watu hata kujuana hatujuani tutaongea zaidi kule nyumbani kwetu
Nitakuwa chuo ila jiandae maana wasiojulikana watakuja kuvamia hapoUtoe uje umuone uliyeniulizia
Sio kutaka picha ya mtu.
Bibie hiyo kazi nishaachana nayo mama.Hahahahhha
Ohhhhhhhh....nilijua umelala, karibu.
Ni rahisi na ndio maana tukaichagua.
Kila mtu aketi katika mstari wake shoga angu.
Haya...umeongea weeeee, umeshaukwa weeeeee.....umetongola weeeee.
Sema sasa, tupe hizo namba zako tano uwapigie misukule wako waandae.
Maana naona unakaukwa mate hapa jukwaani.
Cha maana unachoongea huna.
We sema unatangaza kazi yako inayokuweka mjini hapa.
Kama party ya kishamba, acha tusherehekee na washamba wenzangu.
Yaani wewe mchicha ni wa hovyo kabisa.