[emoji23] [emoji23] [emoji23] matusi hayo sasaKutaneni gulioni[emoji23]
Aisee meku[emoji23]aiseee
Karibu mkuuNitakuepo pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mumu atasusaAcha tu shoga angu tutaongea kule chembaa best!!![emoji22] [emoji22] [emoji22] chanikaaaa mojaaa...!!!
Halafu hayo ya kutupitia mi naona Mimi na wewe tukutane pale kwenye mishikaki ya 300 halafu tuwapitie mzigua na mumu!!!au wasemaje!
Na ndiyo kusudi langu hiyo siku sitaki kuvaa pichu kabisaKumbuka na kanuni za kijora...no pichu....teh teh [emoji12]
Eeeh ile. Ndo shida ya coco. Coco sio makutano ya muda mrefu. Ile one two hrs hamna shida. Ila kusema kula na kunywa na kamziki kidogo hapafaiIle lounge ya kule baharini. Hapajakaa mkao kwa party za kijanja au near to executive parties
LooohWee acha tu...utafikiri nilizaliwa Bills
Tinga tuuMmh, sisi wamikoani ni balaa gharama nauli plus kulala duh, sijui nitinge tu.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Mwika pale sinza makaburini??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Heee imeenda wapi?? Jamani sasa nikitoka huku kijijini nashukia wapiHahhaha ubungo haipo siku hzi... Kwa Dula tutaenda before party walau atupe abakanja za hapa na pale
[emoji13][emoji13][emoji13]Sawa asante
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ndo ukweli huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] matusi hayo sasa
Jamani. Inaanza SAA kumi na kuendelea. Ukitaka kuondoka hata SAA moja unaweza mbonaIngekuwa kuanzia saa sita mchana hadi kumi na mbili au mbili usiku angalau ningeweza ila huo usiku mnene pagumu
[emoji15][emoji15][emoji15]Unaona sasa.... Msitufanye hiyo siku tunywe pombe tuanze kuvua nguo
Mi ntakujua tuu[emoji2] [emoji2]Mie nitakuja Ila Hamna atakenijua hehee Just joking
Ugumu uko wapi mkuu?Hahah hii ni chit chit
Niliitamani sana hii part yenu wanadasilamu tatizo masharti yenu magumu sana
Bora niendo kolomije nikachunge ngo'mbe
Uje buana[emoji23]Nachamgamshaa gengee...hahaa
Heee imeenda wapi?? Jamani sasa nikitoka huku kijijini nashukia wapi
Njoo tuu mamaMie nitakuja Ila Hamna atakenijua hehee Just joking