Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Khe!!Aisee!
Tayari naona watu mshaanza vita kabla hata party kufanyika!
Taratibu wajameni. Walau msubiri siku ya siku ifike...
Ila mniombee na mimi siku hiyo nisiue mtu maana naona kinuka mkojo mmoja keshatoa mchango.
I can't wait to re-arrange her ugly face....bout that life for real.
Tulisinzia wewe chezeya usingizi weye...Njooni huku tupige story basi, mbona pamezubaa hivi na bado mpo online
General Mangi
Witnessj
Madame B
Zurri
Chiquita
.............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wabongo wazuri sana wa kupanga. Subiria uone utekelezaji.
Wao walishaandaa party before wanajua? unaweza kuhisi 50 ni wachache kumbe wasitimie hata 30.... lolJF NI KUBWA SANA MKUU 50 NI WATU WACHACHE SANA
Mavazi na idadi ya watuUgumu uko wapi mkuu?
No!Guys, ni lazima mtu akitoa mchango ataje na ID yake??
Hahaha nipo hapa mkuucute b uko wap nifanye muamala huku!
Thank you mkuu.Wacha nikomae na box hapa kwa malkia,niwatakie kila la kheri kwenye party yenu,amani itawale na Mungu awalinde,Mungu akipenda in sha Allah next time i'll join u guys,
Good luck.
Idadi ya watu mkuu kwanza hapo imewekwa wengi sasa. Na mavazi mbona wengi wanayo mavazi ya rangi nyeusi na nyeupe?Mavazi na idadi ya watu
Shida ni kwamba tutajuaje Mchango kutoka kwa Maria ndo wa Culture gal?Guys, ni lazima mtu akitoa mchango ataje na ID yake??
[emoji13][emoji13][emoji13]Sawa