Nimeamka mamaUmeaka?
Sioni shida sababu hata real Id's zetu hazijaandikwa jf names bali zimeandikwa our real names... kwangu mimi sio big issue ila nilikua nasemea kwa wengine ambao hawata taka kutambulika.Shida ni kwamba tutajuaje Mchango kutoka kwa Maria ndo wa Culture gal?
NakusalimiaKAMA IDADI YA WATU NI NDOGO SANA
@Madam B ameshanipa utaratibu kuhusu wasiotaka Id zao zijulikane kama wamechangia. Ukishatuma pesa unaenda kwa message za kawaida unamwambia jina lako utakaloingia ukumbuni siku hiyo kwa sababu sio laIma tukujue kwa Id yako humu.Sioni shida sababu hata real Id's zetu hazijaandikwa jf names bali zimeandikwa our real names... kwangu mimi sio big issue ila nilikua nasemea kwa wengine ambao hawata taka kutambulika.
na raha ya party km hyo mtambuane kwa majina halisi sio ya jf!nawaza tuSioni shida sababu hata real Id's zetu hazijaandikwa jf names bali zimeandikwa our real names... kwangu mimi sio big issue ila nilikua nasemea kwa wengine ambao hawata taka kutambulika.
Hahaa lisemwalo lipoIla nawaomba wahudhuriaji msije kuja kufungulia nyuzi humu za kudhalilishana.
Baada ya party ndio tutaanza kusikia mengi ya watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Naam.....na raha ya party km hyo mtambuane kwa majina halisi sio ya jf!nawaza tu
Nimeona dear mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
Sawa ila mimi siku hiyo naomba nikutambue kua huyu ni Mzigua90 na wewe utanitambua....@Madam B ameshanipa utaratibu kuhusu wasiotaka Id zao zijulikane kama wamechangia. Ukishatuma pesa unaenda kwa message za kawaida unamwambia jina lako utakaloingia ukumbuni siku hiyo kwa sababu sio laIma tukujue kwa Id yako humu.
Hilo limepita mama angu.Sawa ila mimi siku hiyo naomba nikutambue kua huyu ni Mzigua90 na wewe utanitambua....
Ni kweli maana tukitambuana kiJF ndo yalee ya kuja kuanzishiana nyuzina raha ya party km hyo mtambuane kwa majina halisi sio ya jf!nawaza tu
Mkaribie mjini tu shemeji wa zamaniNa sisi wa nyakibimbiliii mabonde kuinama aka mikoani?
Mimi nataka kutuma kupitia wakala,msg siwezi kuwa nayo, nikikutajia jina la wakala haitoshi kuthibitisha?Hahahaha
Lol!!!
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
hapo chacha!Ni kweli maana tukitambuana kiJF ndo yalee ya kuja kuanzishiana nyuzi
Lol... kwenye party umpe sekta ya kugawa vinywaji.
Hiyo nayo ipo.Mimi nataka kutuma kupitia wakala,msg siwezi kuwa nayo, nikikutajia jina la wakala haitoshi kuthibitisha?